KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA MRADI WA UWAJIBIKAJI KWA JAMII ZILIZOKUA ZIKIFADHILIWA NA SIDA KWA KUPITIA SHIRIKA LA FORUMY SYD KATIKA WILAYA ZA KARAGWE , MAGU NA UKEREWE IFIKAPO 31 MEI 2015
"Tunapenda kuwaarifu kwamba, SIDA Imefadhili programu ya uwajibikaji kwa jamii katika wilaya za Karagwe, Ukerewe na Magu kwa kipindi cha miaka minne. Kwa sasa wameamua kutoingia mkataba na Forumy Syd kuendelea kufadhili mradi huu /Program hii, Kwa kua SIDA ni mfadhili pekee wa mradi huu/program hii, Forumy Syd Imeamua kufunga shughuli zote zinazohusu mradi huu/programu hii katika wilaya husika za KARAGWE, UKEREWE na MAGU hapa TANZANIA
TUNATANGULIZA SHUKRANI
Imetolewa na
Kaimu Meneja wa Shirika
Mr. Rodrigo Arce
Simu: +255-28-2501228
Barua pepe: Rodrigo.arce@forumysyd.org
Mwanza Tanzania
Wadau Mbalimali wakionyesha Alama ya Kuaga Rasmi Mradi wa SAPT |
Mwenyekiti wa MAPERECE (wa kwanza kutoka kulia) Mr. Joseph Mandago Akifatilia Ripoti ya |
Mdau wa Mradi akitetta Jambo na Kaimu meneja wa shirika Mr. Rodrigo Arce |
Audiphax Kamala (MC) akiwasomea Ripoti Wadau |